Kama haijawahi kufanya kazi si bora kusajili.mpya tu
Hapo maana yake unauza tu hati ya usajili sio kampuni sababu wateja huna .Unauza makaratasi tu ya kampuni

Inauzwa pamoja na assets zake mali na madeni au linauzwa jina tu? Ufafanuzi tafadhali? Kuuza a giant company like that lazima taarifa zote ziwe very clear!
Mleta mada bwana...inakuaje mvurugano wote huo bora ungesema ni mpya hawezi control zote anauza moja na imesajiiwa tayari ambaye Yuko interested na Mambo ya clearing aje.
Good morning mtoa mada