Kampiga nusura amuue kisaa...

Kampiga nusura amuue kisaa...

Hahaaa wanakuwaga na high temper sn hao watu. Ila bidada kapata alichokitaka nyooo ngebe zote kwishaaa
 
Hii tabia ya kuitana vibamia hii.. Kuna mdada aliniachaga akaenda kuwasimulia wenzake eti shemeji yenu nimemuacha bwana ana kibamia. Wenzake acha wampinge. Wakamwambia muongo shemeji hata hana kibamia unamuonea tu kaka wa watu. Ukaanza ugomvi nyie mmejuaje hana kibamia??
 
Jamaa hakutakiwa kuhamaki.

Nafikiri huyo Jamaa hajawafahamu WALIMBWENDE kiundani.

Labda MLIMBWENDE aliamua kumuharibia Jamaa sababu alikuwepo SKANI na MACHIZI wake, wakati tukija kwenye Uhalisia Jamaa si kama alivyopakaziwa.

Jamaa alitakiwa kujibu mashambulizi kiutu uzima, nakuambia DEMU angetulia mwenyewe
 
Back
Top Bottom