Kampeni za Udiwani Tungi Morogoro

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
nilikuwa hapa kwenye uwanja wa kufunga kampeni za udiwani hapa kata ya Tungi Moro kwa Chama cha Mapinduzi

namuona Mzee Mangula, watu waliohudhuria ni kama watu 100 poor them!
 
mkuu hicho chama kilikwisha kufa siku nyingi sana , huyo mangula anajitafutia maradhi ya uzeeni tu atuletee lawama .
 
hahahah nawaona hapa kwenye ukumbi wa jeshi wanagawana hela!
mkuu uchaguzi wa mwaka huu hapa ni mgumu trust me
 
Hawa watani leo hawalali . kaeni chonjo nao watakapoanza kuzunguka kugawa fedha muwapige kabari ya mbao na kuwakomba kila kitu.
 
nilikuwa hapa kwenye uwanja wa kufunga kampeni za udiwani hapa kata ya Tungi Moro kwa Chama cha Mapinduzi

namuona Mzee Mangula, watu waliohudhuria ni kama watu 100 poor them!
huyu aliyeandika taarifa hii si mchambuzi wala mjuaji wa mambo ya siasa.kata yenyewe ina wakazi wapatao 3000 waliojiandikisha na watakaopiga kura hawatozidi 1800 sasa mangula kupata watu 100 ni sawa kabisa.mkutano wa mbowe ulikusanya wakazi wote wa manispaa.moderators wa jamii forum muangalie cha kupost.sometimes rubish.
 
mbona yamekutoka mapovu mazito sana mkuu , kwa lipi hasa ?
 
Asante mungu kwa kuifanya chadema kuwa mpango wako!

Hii ndiyo sauti ya mtanzania mnyonge.
 
nilikuwa hapa kwenye uwanja wa kufunga kampeni za udiwani hapa kata ya Tungi Moro kwa Chama cha Mapinduzi

namuona Mzee Mangula, watu waliohudhuria ni kama watu 100 poor them!

Mkuu picha ninazo nipo na mchina nashindwa Kuweka dah!
 
nilikuwa hapa kwenye uwanja wa kufunga kampeni za udiwani hapa kata ya Tungi Moro kwa Chama cha Mapinduzi

namuona Mzee Mangula, watu waliohudhuria ni kama watu 100 poor them!

Kamanda tunaomba kesho uwe unatupa updates nyingi iwezekanavyo...

All the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom