Wahenga walisema "Nyani halioni........"Hii nimeiona Michuzi blog:
Akasema zaidi kuwa viongozi wa CHADEMA hawajali utu na kwamba wengi wako kwa maslahi binafsi na si kwa faida ya wananchi.
.
Umasikni wa Watz, njaa, na tamaa vimegeuzwa mtaji na CCM. Kuhama huku si kwa hiari, hii ni humiliation kubwa sana mbele ya kadamnasi na mbele ya watoto wako maskini unaanza kuzikana values zako! Kama wewe huyo huyo umewahubiria watoto wako kwamba CCM ni mafisadi, wanafuja mali ya umma na wametoa ahadi hewa for nearly 50 yrs. Kesho unasimama jukwaani kwao kuwaita chama bora, Lazima uwe lunatic kupata guts za kufanya hivyo.
Hivi mtoto wako wa miaka 7 akikuuliza imekuwaje baba CCM wamekuwa wazuri siku hizi? utamwambiaje?
Hii nimeiona Michuzi blog:
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jakaya Kikwete, ameendelea kuvua wafuasi toka vyama shindani katika mikutano ya kampeni zake baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Muheza, Joseph Mnyema, kukitosa chama hicho na kujiunga na CCM.
Mbele ya mamia ya wakazi wa Muheza katika mkutano wa kampeni wa CCM, Mnyema alisema amehama CHADEMA kwa kuwa kimekosa sera zenye mwelekeo.
"Kukaa upinzani ni kupoteza muda, Chama chenye mwelekeo sahihi kwa maslahi ya Watanzania ni CCM," alisema Mnyema aliyekabidhi kadi ya CHADEMA kwa Rais Kikwete.
Akasema zaidi kuwa viongozi wa CHADEMA hawajali utu na kwamba wengi wako kwa maslahi binafsi na si kwa faida ya wananchi.
Naye Raisi Kikwete alimfahamisha mwanachama huyo mpya kuwa mateso aliyoyapata akiwa CHADEMA hatayaona CCM kwani inajali na kuthamini kero za Watanzania. Akawaasa wananchi kuungana na Mnyema kutafuta kura za CCM kwani amejiunga kipindi muafaka, wakati CCM ikiwa kazini kutafuta ushindi kwa Urais, Ubunge na Udiwani.
Kwa maoni mambo, tuhuma hizo zilizotolewa hapo juu ni kinyume cha mambo. Ni ccm ambayo haijali kero za watu kwa kukumbatia na kufanya ufisadi, huku wakiwadanganya watu, kwa vitendo hafifu kuwa wanafanya yanayotakiwa. Mateso wanayoyapata Watanzania ni makubwa, na ni pale watakapoitosa ccm ndipo wataelewa ni kiasi gani wlaivyokuwa wanataabika, pindi rasilimali zote zitakapolengwa katika kuboresha maisha yao, badala ya watu wachache wakiwemo viongozi wa ccm na familia zao pamoja na mafisadi ndani na nje ya nchi, walio raia na wasio raia.
- Hivi ni kweli maneno na sera za Chadema zinazotolewa zinaonyesha kutojali watu? Wamepewa nafasi lini ya kutojali watu, au yeye mwenyewe alijiona kuwa hajaliwi kwa sababu zake anazozijua mwenyewe? Inaonyesha wazi kuwa huyu ana tabia ambazo hazikubaliki kijamii.
- Ni mateso gani aliyoyapata akiwa Chadema na katika hali ipi? Chadema imekuwa katika wadhifa upi ili hata kuweza kufanikisha mateso ya mtu yeyote?
hahaaaaa weekend njemaAlipata ajari ya pikipiki halafu hakupata mshiko kutoka chadema alipo waomba wakamwabia wang'emlipa kama ang'e anguka akiwa kazini...wakati Dr slaa alianguka bafuni ametibiwa kwa pesa ya chama akahoji bafuni kulikuwa na kazi gani.....ndicho kilicho mwondoa CHADEMA
hivi ndio vitu hata huwa siwazi,ni upuuzi mtupu vyombo vya habari kuonyesha habari nzuri za chama kimoja na mbaya tu za vyama vingine,wanatunyima haki ya habari sahihi na hivyo wananchi kuchagua kiongozi sahihi!
Milioni 60 Tshs Hiyo ishafanya kazi yake!!!
Alipata ajari ya pikipiki halafu hakupata mshiko kutoka chadema alipo waomba wakamwabia wang'emlipa kama ang'e anguka akiwa kazini...wakati Dr slaa alianguka bafuni ametibiwa kwa pesa ya chama akahoji bafuni kulikuwa na kazi gani.....ndicho kilicho mwondoa CHADEMA
halafu leo eti mwananchi imeandika ni raia halali wa Tanzania. kazi kweli kwelikamuulize husein Bashe atakwambia mateso yaliyomfika akiwa ndani ya CCM.
Alipata ajari ya pikipiki halafu hakupata mshiko kutoka chadema alipo waomba wakamwabia wang'emlipa kama ang'e anguka akiwa kazini...wakati Dr slaa alianguka bafuni ametibiwa kwa pesa ya chama akahoji bafuni kulikuwa na kazi gani.....ndicho kilicho mwondoa CHADEMA
Pole sana Ubaguzi upi kama aliofanyiwa Bashe mh acha kuwa na Hasira...Mabadiliko yanakuja ndo mana wewe unalaumu CHADEMA TU na si vyama washirika wa CCM vilivyo upinzani Moto huo utasalia Toilet PaperCHADEMA si chama makini, mtasema sana na bado watahama sana, mna double standard katika kuwashughulikia watu wenu.
wabaguzi na mko vizuri kwa fitna na majungu.
hata leo mnyika akitoka mtachafua kuwa si shujaa na mengine.
maana huyu alikuwa jemedari wenu tena kwa muda mrefu tu.
nyinyi mmekufa kibudu
wahoi taabani tafrani jasho linawamwaika
kwenye nyekundu, unamaanisha hata nyerere anahusika?Umasikni wa Watz, njaa, na tamaa vimegeuzwa mtaji na CCM. Kuhama huku si kwa hiari, hii ni humiliation kubwa sana mbele ya kadamnasi na mbele ya watoto wako maskini unaanza kuzikana values zako! Kama wewe huyo huyo umewahubiria watoto wako kwamba CCM ni mafisadi, wanafuja mali ya umma na wametoa ahadi hewa for nearly 50 yrs. Kesho unasimama jukwaani kwao kuwaita chama bora, Lazima uwe lunatic kupata guts za kufanya hivyo.
Hivi mtoto wako wa miaka 7 akikuuliza imekuwaje baba CCM wamekuwa wazuri siku hizi? utamwambiaje?