GE2025 Kampeni za uchaguzi kumrithi marehemu Ndugai zimeanza rasmi

GE2025 Kampeni za uchaguzi kumrithi marehemu Ndugai zimeanza rasmi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mtotofisi

Member
Joined
Aug 24, 2020
Posts
27
Reaction score
47
KONGWA. Kampení za uchaguzi kuwania ubunge kupitia chama Cha mapinduzi zimeanza Leo tarehe 15-8-2025, zikianzia Kata ya Kibaigwa . Wagombea wapo 13 ikiwemo 7 kati ya 10 waliowania pàmoja na Hayati Ndugai na ingizo jipya ni wagombea 6
Baada ya kifo Cha Ndugai Jumla ya watia Nia 24 walijitupa kwenye kinyang'anyiro Cha kuwania Ubunge Jimbo la Kongwa akiwemó Enginer Hersi Said Rais wa Yanga. Kwa bahati mbaya ameliwa kichwa kwa Mara nyingine
Chama Cha mapinduzi kilitangaza kuwa Uchaguzi kura za maoni katika Jimbo la Kongwa kufanyika Jumapili hii ya tarehe 17

IMG-20250815-WA0034.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20250815-152436_1.jpg
    Screenshot_20250815-152436_1.jpg
    100.6 KB · Views: 20
KONGWA. Kampení za uchaguzi kuwania ubunge kupitia chama Cha mapinduzi zimeanza Leo tarehe 15-8-2025, zikianzia Kata ya Kibaigwa . Wagombea wapo 13 ikiwemo 7 kati ya 10 waliowania pàmoja na Hayati Ndugai na ingizo jipya ni wagombea 6.
Chama Cha mapinduzi kilitangaza kuwa Uchaguzi kura za maoni katika Jimbo la Kongwa kufanyika Jumapili hii ya tarehe 17View attachment 3442080
Dan hata siku 14 bado.. Yaani marehemu bado hajaoza😭😭😭😭
 
Ukisha zikwa kila kitu chako kimeisha mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema
 
Jimbo tayari limeshanunuliwa na eng. hersi kwa milioni 100

Hata asipoongoza kura za maoni, tayari ana baraka kutoka juu!

Hao wajumbe wengine wana msindikiza mwali tu.
 
Back
Top Bottom