CCM wanaitaka arusha kwa udi na uvumba,mmebumburua dili la general tyre,viwanja walivyogawana burka ni kaa la moto,mnanyemelea kuharibu dili la hoteli ya 77,mnapigia kelele mashine za kufulia za mount meru,nk nk.lazima meya ahalalishwe.
Ninamunea huruma sana lema, yaani hana plan yeyote hapo kichwani ya maendeleo. anafuata upepo, Sijui kwanini watz wanadangwanywa kiasi hiki, hebu muulize nini anaweza kueleza amewatendea wanachi wa arusha, atakujibu nimewapa ujasiri wa kuandamana, CHADEMA ninawasiufu kwa kufanya maovu na kuwabambikizia wengine, mfano, waliposema CUF wanasapoti ushoga, kumbe wao walikuwa wanauwa soo walivyoenda kuongwa elkopter na david acmeroon wakakubali ushoga, wakaona issue inataka kufichuliwa wakawawai CUF,