Siha hata aliyewaazima ofisi Chadema alishahamia CCM kitambo. Watu wamechoka na propaganda za Chadema, watu wanataka maendeleo. Kitendo cha kusema wabunge wa upinzani wasishirikiane na serikali ya CCM kinawakwaza wananchi ndio maana kampeni zimekuwa mteremko kwa upande wa CCM hasa jimboni Siha.