Picha zinaongea kwa sauti kubwa, atakayejaribu kuchakachua matokeo tutamtenganisha mwili na roho yake kila kimoja kiishi kivyake kwa ukiwa.
hivi kwa akili zako finyu unadhani hizo picha ndizo zinazopiga kura...!!!???? hata kama zitapostiwa picha milioni moja hapa zenye mkusanyiko wa kundi la watu milioni moja kila picha, kama hao wana pipozi pawa hawatajitokeza kupiga kura ni sawa na kuutukana upepo ukiuambia uache kuvuma. sasa ninyi mtaendelea kuangalia picha huku wenzenu wanaendelea kupiga kampeni mtu kwa mtu, kitanda kwa kitanda, nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa. hadi mje kushituka tayali mtakuwa mmekwisha pigwa bao.
na hako katabia ka-kutishia watu kuwauwa undhani mtakaacha lini...!!!?? mkuwe sasa, muanzae kushindana ki-ukweli pasipo kulalamika kwamba mumeibiwa, mumechakachuliwa nk, hv ninyi ni watu wa kuchakachuliwa tu, hv tukiingia ndani ki-ukweli katika mchezo wa siasa ninyi huwa hamchakachui....!!!!!???