Kampeni za CHADEMA leo Katika picha

Kampeni za CHADEMA leo Katika picha

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
Wakuu siku hizi mbili kumekuwa na ukame wa picha za kampeni humu jamvini.Nimeziona kwenye uzi wa www.mjengwablog.com Mwenye uwezo wa kuzileta hapa atuletee,maana magamba wasije wakapata visingizio
 
Mgombea%2Bkuhutubia%2BNgarenanyuki.jpg
​


Mgombea wa CHADEMA Bwana Joshua Nassari akihutubia mamia ya wananchi leo jioni maeneo ya Ngarenanyuki.Ameendelea na kampeni leo baada ya kusitisha jana kwa ajili ya kufiwa na baba mdogo wake
 
All the best Kijana, Mungu atakusaidia
 
huu mziki 2015 utanoga zaidi issue ni kwamba kwa sasa hawataki kuandikisha wapiga kura wapya
 
safari hii lazima kieleweke na ole wenu ccm mchakachue arumeru itageuka kuwa mbeya au zaidi ya mbeya:lock1:
 
huu mziki 2015 utanoga zaidi issue ni kwamba kwa sasa hawataki kuandikisha wapiga kura wapya
wana arumeru msituangushe bunge letu limechangamka na kutuvutia kwa sababu ya uwepo wa changamoto za vijana wa chadema, mpeni kura za kumwaga za ndiyo bwana nasari atatutetea uyu kijana, kumchagua mkwe wa fisadi el, fisadi la richmond (aka richard wa monduli) siyoi ni kulikabidhi taifa kwa mafisadi pia kulirudisha taifa nyuma na kuwasaliti watanzania wenzenu tunaotaabika ktk lindi la umaskini uliotokana na ufisadi wa el (baba mkwe wake siyoi)
 
m2 mmoja kama elfu moja peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeess
 
mh mi sifagilii maisha ya mtu najifagilia mwenyewe...!!!!!! Kampeni kwa baadhi ya sisi wasomaji hazitusaidii na wala hatuna time nazo, tunawafagilia mkipata hayo madaraka inakuwa ndo basi tena mtanikoma...fuc******!

Ni bora nijue zangu 50....!!
 
Hii ni TSUNAMI kwa kweli. Kwa hali hii CCM lazima wasombwe na Tsunami na kufia mbali kabisa.
 
Back
Top Bottom