Kampeni za chadema kimandolu

Kampeni za chadema kimandolu

Ngowi sio mwanakimandolu ni mpiga kura wa rombo. Hapo mmechemka hatuwezi kumpa udiwani mtu ambaye hata mipaka ya kata ya kimandolu haifahamu. Matatizo ya kimandolu ndio hatayajua ? Msije kufanya watu wajinga hawana uwezo wa kufikiri. Propaganda zenu mwisho ni JF.

kila siku tunapinga ubaguzi wa rangi, jinsia, ukabila, ukanda. udini lakini wewe bado unauendeleza acha hizo ccm lazima ife kifudifudi
 
Kumbe hata wabunge wako wanapo wazomea wabunge wetu ni kuthibitisha kuwa wameshindwa....

Tofautisha kuzomea gari na mbunge wa Chadema aliekuzwa katika misingi ya uongo anapodiriki kuongopa hadharani bila ya aibu.
 
kila siku tunapinga ubaguzi wa rangi, jinsia, ukabila, ukanda. udini lakini wewe bado unauendeleza acha hizo ccm lazima ife kifudifudi
Ni sheria na taratibu za tume ya uchaguzi hakuna ukabila wala rangi ya mtu.
 
kila siku tunapinga ubaguzi wa rangi, jinsia, ukabila, ukanda. udini lakini wewe bado unauendeleza acha hizo ccm lazima ife kifudifudi

We unamatatizo kichwani. Ukabila na ukanda upo wapi hapo? Tumia akili kufikiri acha kufata mkumbo. Sisi tunataka mtu anayefahamu shida za wanakimandolu sio mtu mpita njia. Kama CHADEMA mmeshindwa kuchagua mtu anayeifahamu kata ya kimandolu vizuri hiyo ni shida yenu. Wananchi sio wajinga kihivyo hadi mfikirie kwa niaba yao.
 
ukweli unauma mkuuu
 
Mungi , Siku zote Picha inazungumza kwa sauti Nyororo zaidi kuliko maneno matupu !
 
Tofautisha kuzomea gari na mbunge wa Chadema aliekuzwa katika misingi ya uongo anapodiriki kuongopa hadharani bila ya aibu.
Muulize bi Kiroboto ni nani muongo kati ya mbunge wa Arusha na Waziri mkuu!
 
Ngowi sio mwanakimandolu ni mpiga kura wa rombo. Hapo mmechemka hatuwezi kumpa udiwani mtu ambaye hata mipaka ya kata ya kimandolu haifahamu. Matatizo ya kimandolu ndio hatayajua ? Msije kufanya watu wajinga hawana uwezo wa kufikiri. Propaganda zenu mwisho ni JF.

Imekula kwako!
 
Mchungaji Ngowi dini na siasa ni vitu viwili tofauti utajikuta unamkufuru mungu wako.

Mchungaji anafundishwa kuchambua, kuelezea hadi kueleweka katika kitu ambacho katika uhalisia wake ni dhana. Atapata ugumu gani kuchambua, kuelezea hadi akaeleweka katika vitu vinavyoonekana kama barabara, mahospitali, shule na viwanda? siasa is so much simpler than pulpit talk. it is so easy wachungaji huwaga wanawaachia wanasiasa basi tu.
 
Nilipita kijenge chini jioni hii,inabidi nipaki kusikiliza hotuba ya mchungaji!Kweli pastor kadhamiria kuwazika magamba,aibu iliibuka pale magamba walipopita na msururu wao wa magari,zomeazomea ikawakuta,inabidi waanze kunyoosha vidole viwili km wafanyavyo Chadema!sijui walihofia kupigwa mawe,nilicheka sana!ARUSHA NI ARUSHA,CHADEMA NDO ARUSHA NA ARUSHA NI CHADEMA!VIVA CHADEMA
 
Mkuu ule ulikuwa msafara wa Nape ukitokea kijenge juu
 
Ndugu zangu mi nawapmba muandike kabisa barua za usia kwa familia zenu haya matpkeo ya udiwani yatauwa baadhi ya watu.
 
Mchungaji Ngowi dini na siasa ni vitu viwili tofauti utajikuta unamkufuru mungu wako.
Unamfahamu Askofu Desmon Tutu wa Afrika ya Kusini, Rev Jese Jackson wa Marekani au unamjua Mchungaji Getrudi Lwakatare ama yeye ni mpishi wa CCM bungeni?
 
Natamani jumamosi Tundu lisu, msigwa, jj mnyika, lema na kamanda wa anga wawepo A town kufunga kampeni! Chadema mbona rahaaa!
 
Ndugu zangu mi nawapmba muandike kabisa barua za usia kwa familia zenu haya matpkeo ya udiwani yatauwa baadhi ya watu.

Huu ushauri umpe Nape aweze kuutoa kwa niaba ya Jk
 
Natamani jumamosi Tundu lisu, msigwa, jj mnyika, lema na kamanda wa anga wawepo A town kufunga kampeni! Chadema mbona rahaaa!

Bila hata hao watu, Lema peke yake alishawamaliza ccm na hawa wanaojiita wao ni liberals
 
Wana JF,
Kila kunapokucha kasi ya chadema inazidi kuungwa mkono kwa kadi ya ajabu.
Nipo hapa Kimandolu kijenge ya juu, hakuna watu maarufu wanaopiga swaga jukwaani zaidi ya diwani na viongozi wa kata, uwanja umefurika ajabu.
Kata hii ya kimandolu uwezekano wa Mgombea udiwani Mch. Nelso Elshadai Ngowi kuibuka kwa ushindi wa 90% upo wazi kabisa. Hakuna muziki lakini watu wamejaa kiasi hiki.

siku za umeya wa Gaudence Lyimo zinahesabika!

Mungu Ibariki Chadema
Mungu ibariki Tanzania

Haya nenda kwa Lema kachukue posho yako.
 
Back
Top Bottom