Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Kampeni ya Mama Asemewe chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Geofrey Kiliba, imeandaa kongamano kubwa la wanavyuo kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Dodoma, litakalofanyika tarehe 29 Machi 2025 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre.
Kongamano hilo linalenga kuwakutanisha wasomi kwa ajili ya kujadili na kuweka maazimio ya pamoja kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, likiwa ni sehemu ya juhudi za kuwawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato huo wa kidemokrasia kwa msingi wa uelewa na uzalendo kwa taifa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndg. Kiliba, kama kiongozi wa kampeni ya Mama Asemewe ataongoza mchakato wa maazimio hayo, ambapo wanavyuo watatoa mtazamo wao kuhusu mustakabali wa Tanzania na namna vijana wanavyoweza kushiriki katika kujenga taifa imara kupitia uchaguzi huu muhimu wa mwaka 2025