Kampeni ya "Malofa Katika Ubora Wetu"

Kampeni ya "Malofa Katika Ubora Wetu"

Joined
Jun 9, 2011
Posts
92
Reaction score
53
Wadau hii ni kampeni mpya inayoitwa "malofa katika ubora wetu" inayolenga kuionyesha ccm kuwa malofa ndo wenye nchi yao, jiunge nasi kwa kuikataa ccm, katika hili malofa hatuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yetu!
 
Jamani mi nataka zile tshirts za malofa katika ubora wetu.Zinapatikanaje?
 
Wadau hii ni kampeni mpya inayoitwa "malofa katika ubora wetu" inayolenga kuionyesha ccm kuwa malofa ndo wenye nchi yao, jiunge nasi kwa kuikataa ccm, katika hili malofa hatuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yetu!

Wapi tshirt za malofa?
 
attachment.php
 
naona maccm leo yameamkia kupost upuhuzi humu, ili kupotezea haibu ya kufunikwa jana pale jangwani. Ahaaaaaaaa.
 
Wadau hii ni kampeni mpya inayoitwa "malofa katika ubora wetu" inayolenga kuionyesha ccm kuwa malofa ndo wenye nchi yao, jiunge nasi kwa kuikataa ccm, katika hili malofa hatuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yetu!

Kuna Lofa mmoja hawezi kuhutubia zaidi ya dakika kumi.
 
Back
Top Bottom