Sawa kamanda kesho niko huko kamanda leo tumewavua magamba watu wakutosha mpaka mgombea wa TLP nae kauona mwanga...Ndugu zangu makamanda mimi ni naibu meneja kampeni kata yakimandolu chadema tunashinda kwa asilimia 85 ccm wameleta mawaziri w medeye w mwandi kina nchemba nawengine wengi niko nakamanda magoma ebana tunawakimbiza mpaka wamekubali yesu nibwana hawa viongozi wa serikali tarehe 16 jioni ukipiga cmu utasikia namba unayopiga haipatikani wako airport wanarudi dar mwigulu arusha sio iramba sisi ni watoto wa a town tunakula ccm tunalala chadema arusha mjini hkna ccm huku mgombea udiwani wa chadema kata yakimandolu mchungaji nelson elshadai ni chaguo la mungu ametumwa kuwakomboa watu wakimandolu alutan contunua makamanda ccm wameishiwa sera matusi kwenye majukwaa viongozi wa dini ombeeni ccm inakiuka maadili ya baba wa taifa mungu ibariki chadema
Ndugu zangu makamanda mimi ni naibu meneja kampeni kata yakimandolu chadema tunashinda kwa asilimia 85 ccm wameleta mawaziri w medeye w mwandi kina nchemba nawengine wengi niko nakamanda magoma ebana tunawakimbiza mpaka wamekubali yesu nibwana hawa viongozi wa serikali tarehe 16 jioni ukipiga cmu utasikia namba unayopiga haipatikani wako airport wanarudi dar mwigulu arusha sio iramba sisi ni watoto wa a town tunakula ccm tunalala chadema arusha mjini hkna ccm huku mgombea udiwani wa chadema kata yakimandolu mchungaji nelson elshadai ni chaguo la mungu ametumwa kuwakomboa watu wakimandolu alutan contunua makamanda ccm wameishiwa sera matusi kwenye majukwaa viongozi wa dini ombeeni ccm inakiuka maadili ya baba wa taifa mungu ibariki chadema

Utasikia Mwaka 2010 Chadema ili pata 2% kata ya Kimandolu,uchaguzi huu imepata 17% hivyo imejitahidi! Story kama hizi hazitakiwi tena,msilete visingizio vya Asilimia!
Nimepata matumaini mapya na hii thread!
Mwgulu ajifunze kuwa kutukana si kupata...seenzi kabisa.
Nimepata matumain mapya na hii thread!
Mwgulu ajifunze kuwa kutukana si kupata.senzi kabisa.
Nimepata matumaini mapya na hii thread!
Mwgulu ajifunze kuwa kutukana si kupata...seenzi kabisa.
Siyo kimandolu tu, kata zote Arusha tunakamua mwigulu atafute pa kujificha kama ana aibu kweli!
Juliana Shonza mwenyewe kakiri kuwa hakuna chama chenye mafisadi kama ccm
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums