Hao sio watu wa kuwa iga wala hustahili kuwatolea mfano. Hakuna family bond Kati ya baba mama na watoto. Hakuna kitu diamond atajivunia kimaadili kuwafundisha watoto wake maana muda wote wako na mama zao. Yeye yuko busy kuanzisha mahusiano yasiyodumu kila uchao na tunaamini wala hayatadumu maana ndio tabia yake. Huyo kwenye maadili ya Familia yuko mbali kabisa haifai kigwa.
Kuna mwamba mwanangu sana kaoa juzi kati, siku ya harusi shemeji anatuangalia wana jicho kali baraa, baadae shemeji baada ya ukumbini mwana katufata club na Shem,
Kacheza mziki ile mbaya mix kalea anakata viuno hadi chini, chupi inaonekana na hawazi wala nini ilibidi mwana akimbie tu aibu
Hii ni kampeni ya kuendeleza ushoga
Shoga yoyote Hana ndoto ya kuwa baba,
Shoga yoyote hawezi Wala kuwa mama.
Ni kampeni ya kishetani.
Hakuna rijaal yeyote asiye na ndoto ya kuoa
Hii ni kampeni ya kuendeleza ushoga
Shoga yoyote Hana ndoto ya kuwa baba,
Shoga yoyote hawezi Wala kuwa mama.
Ni kampeni ya kishetani.
Hakuna rijaal yeyote asiye na ndoto ya kuoa
Hii ni kampeni ya kuendeleza ushoga
Shoga yoyote Hana ndoto ya kuwa baba,
Shoga yoyote hawezi Wala kuwa mama.
Ni kampeni ya kishetani.
Hakuna rijaal yeyote asiye na ndoto ya kuoa
Eti kuwa baba tu.
Kuwa baba ni kubeba majukumu ya baba ya malezi. Unafikiri kutungisha mimba tayari umekuwa baba. Baba wa namna hiyo hatambuliki kama hujui majukumu ya kuwa baba.
sijakataa kwamba ndoa ni taasisi ya kujenga, lakini nataka utambue watu tunaiogopa kwasababu tumeshuhudia mambo ya kishetani yakifanyika humo. Ndoa haitabiriki, inaweza kua chanzo cha mateso makali, hata kifo....