Naona lengo si kuharibu taasisi ya ndoa, ila kuharibu ujenzi wa familia kamili, kwa kuwa familia inaweza tengenezwa bila ya kuwepo ndoa, wapo watu wamekaa pamoja miaka kibao na watoto mpaka wakaamua Sasa wafunge ndoa , shida ni kuharibu family system ambayo ni muhimu kujenga maadili ya mtu.Watu waupinde wanapiga kotekote mzee baba. Hii kampeni ni mahsusi kwa ajili ya kuharibu taasis ya ndoa ambayo ni msingi wa malezi kwa watoto.
Sasa ili kupata mashoga wengi na lesbs wengi malezi ya kutojali misingi ya familia ni mbinu mojawapo.
Hawa hawapo kwa bahati mbaya. Wataendelea kuongeza watoto wasio na malezi ya baba na mama ili kupata victims wengi wa lgbtq.
Sijui kwanini nimeandika kirefu hivi akh kupotezeana muda tu.
KATAA NDOA KATAA NDOA KATAA KUOA ni kauli mbiu ya millennials and above haina mjadala mtuache kila mtu aishi Maisha yakeWasalaam nyote.
Kuna kampeni nimeona iko endelea hapa Jamiiforums. Imepewa Jina la kataa ndoa na maneno mengine yanayoambatana nayo.
Kwanini kampeni hii imeachwa ikaendelea kuwepo kwa muda. Hawa wanaosema kataa ndoa wa namaanisha uzao unapatikanaje?
Je wanahamasisha watu wazaliane bila utaratibu hasa kuongeza wamama wanaolea wenyewe al maarufu 'single mothers'?
Malezi na makuzi ya mtoto huanzia ndani ya ndoa Tena yenye ukamilifu wa wazazi wote. Je Hawa wanataka wazaliwe watoto watakaokosa malezi ya mzazi moja au hii kampeni maana yake nini hasa?
Twendeni pamoja kujadili.
NAKAZIAKATAA NDOA KATAA NDOA KATAA KUOA ni kauli mbiu ya millennials and above haina mjadala mtuache kila mtu aishi Maisha yake
Wasalaam nyote.
Kuna kampeni nimeona iko endelea hapa Jamiiforums. Imepewa Jina la kataa ndoa na maneno mengine yanayoambatana nayo.
Kwanini kampeni hii imeachwa ikaendelea kuwepo kwa muda. Hawa wanaosema kataa ndoa wa namaanisha uzao unapatikanaje?
Je wanahamasisha watu wazaliane bila utaratibu hasa kuongeza wamama wanaolea wenyewe al maarufu 'single mothers'?
Malezi na makuzi ya mtoto huanzia ndani ya ndoa Tena yenye ukamilifu wa wazazi wote. Je Hawa wanataka wazaliwe watoto watakaokosa malezi ya mzazi moja au hii kampeni maana yake nini hasa?
Twendeni pamoja kujadili.
Kwa hiyo unamaanisha watu wazaliane bila utaratibu wowote. Hasa Wanaume wawape wanawake mimba watajua wenyewe mtoto atazaliwaje, atalelewaje. Hizi ni fikra mfu kabisa.ndoa ni fumbo gumu sana. Inaweza kua ndo experience nzuri kuliko zote kwenye maisha yako, au mbaya kuliko zote. Sisi #kataa ndoa, tunaogopa kuumizwa....
namaanisha ndoa sio ya kila mtu.Kwa hiyo unamaanisha watu wazaliane bila utaratibu wowote. Hasa Wanaume wawape wanawake mimba watajua wenyewe mtoto atazaliwaje, atalelewaje. Hizi ni fikra mfu kabisa.
Wewe umesema kweliNaona lengo si kuharibu taasisi ya ndoa, ila kuharibu ujenzi wa familia kamili, kwa kuwa familia inaweza tengenezwa bila ya kuwepo ndoa, wapo watu wamekaa pamoja miaka kibao na watoto mpaka wakaamua Sasa wafunge ndoa , shida ni kuharibu family system ambayo ni muhimu kujenga maadili ya mtu.
Mtu hujengwa na baba imara na mama mtiifu kwa kufundisha njia iliyo sahihi na kufundishwa SHERIA za kufuatwa , hii ndo familia inayotafutwa na freemasons kuiharibu na Wala si ndoa.
Kabisa,wa kuoa wataoa mkuunamaanisha ndoa sio ya kila mtu.
Mond ana watoto kijiji, hajaoKwa hiyo unamaanisha watu wazaliane bila utaratibu wowote. Hasa Wanaume wawape wanawake mimba watajua wenyewe mtoto atazaliwaje, atalelewaje. Hizi ni fikra mfu kabisa.
Kwani mahari ya kulipia anayoKama imekushinda wewe huoni ni vibaya kuhamasisha na wengine waishindwe ?
na sababu tunawaambiaKama imekushinda wewe huoni ni vibaya kuhamasisha na wengine waishindwe ?
Wewe unawatoto?Mond ana watoto kijiji, hajao
P-Diddy ana watoto kijiji hana mpango wa kuoa
CR7 ana watoto kijiji, hajaoa
Ndoa ni Utapeli
Sanuka sasa KATAA NDOA
tusifike huko πKwani mahari ya kulipia anayo
Nini kifanyike?Lakini kuhamasisha kuwatoa watu kwenye utaratibu rasmi wa ki maadili sio jambo la kufumbia Macho.
ninaoWewe unawatoto?
πππππtusifike huko π