Mkuu Dopas,
kwa sababu hiyo, mimi hiyo blogu ya michuzi wala siifungui siku hizi, nimemshtikia anataka kutufanya wote ni malofa..
Actually, nime-delete toka kwenye favourites. To hell, kama kuna nyuuzi tutazipata tuu toka vyanzo vingine vingi ambapo ni wakweli!
Michuuzi na aelewe kwamba saa ya mabadiliko imewadia na hawezi kuuzuia kwa kutoweka picha za matukio ya Dr.Slaa. Akubali matokeo na ili blog yake iwe ya watu wote ni vema akazingatia balance. Dr.Slaa songa mbele hata wabane wataachia tu.