Kampeni Ukonga

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,428
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa kampeni za Ubunge Jimbo la Ukonga unadhisha kuwa wananchi kwa muda mwingi wamekosa mikikimikiki ya wanasiasa majukwaani, lakini pia unatoa picha kuwa wananchi wameondoka kuwa bendera fuata upepo na kubaki kuwa madhubuti katika harakati za mageuzi ya mifumo nchini.

Kwa mtindo huu 2020 wale jamaa wakubebwa wanaweza kupata tabu sana endapo vyama kinzani vitaendelea kutuletea damu changa Kama alivyokuwa myombea Ubunge Buyungu Kigoma na Sasa Ukonga..,...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aksante kwa kuniwakilisha dokta Wa mwitongo

dada asia atosha ukonga Hatutaki tena kupereka walevi bungeni
 
..nimeziona kampeni.

..tatizo wapiga debe wanazungumza muda mrefu, saa moja na nusu, halafu mgombea anapewa dakika 3.

..Nimesikitishwa na kitendo alichofanyiwa Asia Msangi na wapiga debe wake.

..Pia Asia Msangi anatakiwa ajinoe zaidi kuwa na campaign speech inayovutia na kutia hamasa zaidi.
 
Huyu Kama umuonavyo ananolewa aje kuwa au zaidi ya mdee matiko bulaya peneza nk
 
Jamani mmenikosha na kampeni za kukonga nyoyo za chama LA wana CHADEMA huko ukonga wasaliti lazima wapigwe chini waitara aanze klinik ya kisukari kama tysoni wa bunda
 
..nimeziona kampeni.

..tatizo wapiga debe wanazungumza muda mrefu, saa moja na nusu, halafu mgombea anapewa dakika 3.

..Nimesikitishwa na kitendo alichofanyiwa Asia Msangi na wapiga debe wake.

..Pia Asia Msangi anatakiwa ajinoe zaidi kuwa na campaign speech inayovutia na kutia hamasa zaidi.
Ya Lowasa yanajirudia.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Lowasa yanajirudia.?

Sent using Jamii Forums mobile app

..tatizo ni kutotambua waseme nini kwa wakati gani.

..badala ya kumnadi na kumpamba mgombe wao wanazungumza magomvi yao na Waitara.

..wamempotezea huyo mama muda wake wa kampeni.

..hata ukiangalia clip iliyorushwa unaona mgombea alikuwa na hamu ya kuzungumza lakini Salim Mwalimu alikuwa anapoteza muda jukwaani.
 
Bila shaka wamekuelewa Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa kampeni za Ubunge Jimbo la Ukonga unadhisha kuwa wananchi kwa muda mwingi wamekosa mikikimikiki ya wanasiasa majukwaani, lakini pia unatoa picha kuwa wananchi wameondoka kuwa bendera fuata upepo na kubaki kuwa madhubuti katika harakati za mageuzi ya mifumo nchini.

Kwa mtindo huu 2020 wale jamaa wakubebwa wanaweza kupata tabu sana endapo vyama kinzani vitaendelea kutuletea damu changa Kama alivyokuwa myombea Ubunge Buyungu Kigoma na Sasa Ukonga..,...

Sent using Jamii Forums mobile app

ngoja tuone watakao tapatapa kama hayajajirudia ya kigamboni ten ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..nimeziona kampeni.

..tatizo wapiga debe wanazungumza muda mrefu, saa moja na nusu, halafu mgombea anapewa dakika 3.

..Nimesikitishwa na kitendo alichofanyiwa Asia Msangi na wapiga debe wake.

..Pia Asia Msangi anatakiwa ajinoe zaidi kuwa na campaign speech inayovutia na kutia hamasa zaidi.
She is intelligent maana Waitara anarudi bungeni asubuhi na mapema
 
Back
Top Bottom