Kampeni huru za UKAWA 25,September - 25,October

Mm nmefanikiwa wa nne bado naendelea na jaramba mpaka kieleweke
 
Msisahau kuwaeleza kua tunataka mabadiliko fisadi papa awe Raisi
 
Mimi na familia yangu wote kura kwa lowasa, tumekubaliana....
uhhhh nna kazi ya kusafiri trh 24 naenda Arusha kupiga tu kura, nilishindwa kubadili taarifa
 
Pamoja kamanda........huku sumbawanga vijijini tayari mabadiliko...nlipowaambia lowasa atafuta ushuru wa mazao
 
usiwe na shaka maana hata huko vijijini hawaelewi libya ndo wapi na nini kilitokea.

hahahaaa, lakini pamoja na kutokujua, mtu akishakwambia usimchague mtu flan kwa sababu itakuwa kama sehem flani bila shaka unaelewa kuwa hiyo sehemu kulitokea jambo baya.
 
Nami nimefanikiwa kuwabadili 13 voters ambao ni vipenzi vya dkt slaa na prof lipumba kwa kuwaambia mamvi amekuja kuwaharibia kila kitu cdm na ukawa na ndo maana viongozi wenu wamejitoa ninyi mnasubiri nn kweli wameniahidi urais kwa Dr.john P M ila ubunge&udiwani wamesema kwa wa CUF
 

***** umeharibu kila kitu.
 
Tanga cuf inapoteza ushawishi cku hadi cku ki ukawa ndo inakubalika kama hamuamin watafuten wana Jf walio tng
 

Watumie redio kufikisha ujumbe vijijini otherwise shut up
 
Ktk ukawa cuf inakubalika jijini tng ila imepoteza ushawishi cku zinavyozidi kwenda
 
Mi shawaleta 28 ukawa, ni washkaji zangu malofa hapa kilingeni wana hasira balaa...nimewaambia watafute angalau watu wawili kila mmoja. Hatari Pembamnazi huku...
 

Ni vizuri kuwaeleza watanzania kwa mfano halisi maana ni wagumu kuelewa. Mie huwa nawatumia ndugu zangu picha za madampo ya takataka kwenye makazi ya watu na napiga picha vitongoji vya Dar vilivyo holela halafu nalinganisha na picha za miji iliyopangwa kwa ustadi za Botswana na sasa wote wameachana na CCM.
 
Mi shawaleta 28 ukawa, ni washkaji zangu malofa hapa kilingeni wana hasira balaa...nimewaambia watafute angalau watu wawili kila mmoja. Hatari Pembamnazi huku...

yah, ni lazima tufanye maamuzi magumu.
 

asante sana kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…