Elections 2010 Kampeni ccm mpaka barabarani

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
13.jpg

Mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM,Dk. Bilal akizungumza na wanachi wa Wilaya ya Nanyumbu baada ya kuingia mpakani mwa wilaya hiyo na Masasi

That's the way it is supposed to be, that's what's up!!

So far it looks like CCM is beating CHADEMA to the punch with their ground game. Love 'em or hate 'em, it appears like CCM are very well prepared and they are going all out.
 
NN,

Hiyo barabara ndiyo imefungwa tena hakuna gari kupita hadi kampeni iishe?
 
I don't know but you've got to give it up to them (CCM). Their ground game is on point regardless of whether their campaign activities cause inconveniences or not.
 
Siyo barabarani tu hata shuka kwa shuka lakini hatupaswi kudanganyika tena!
 
Hivi Lipumba nae akiamua kufanya hivyo azibe au asimame Morogoro road jamaa hawata lalamika?
 
That's the way it is supposed to be, that's what's up!!

So far it looks like CCM is beating CHADEMA to the punch with their ground game. Love 'em or hate 'em, it appears like CCM are very well prepared and they are going all out.
Kama ingekuwa ni hivyo CCM wasingekuwa na haja ya kutumia nguvu nyingi mana wameshavuta umati wa kutosha. Kwa nini sasa waweke mabango, kutoa ahadi, Mke wa mgombea na watoto! Kutumia vyombo vya habari na mambo mengi......Kama chama kimefanya mambo mazuri kwa wananchi kwa nini wanatumia muda na mali nyingi sana na nguvu kuendelea kutoa ahadi? si wangekaa Ikulu na kufanya kazi kwa manufaa ya nchi.

Hawa watu huko wanapoenda hawajawahi kuona magari, au kusikia vipaza sauti, hawana nguo wala hawajui watakula nini, hawana kazi na hawana matumaini. Hapo wanapoenda kuona wagombea ndio sehemu yao ya burudani, na wengine ndio wanapatiwa nguo, kanga na hela za kujikimu kwa mlo mmoja.
Siku ya mwisho kwenye sanduku la kura anaenda mmoja mmoja na sio umati kama unavyoona kwenye vyombo vya habari vinavyopendelea! Hauna haja ya kusema kama una uhakika CCM itakuwa imeshinda basi we kaa kimya na waache watu wa vyama vingine waendelee na pilika za kuelimisha wananchi.
 
Wewe hujui kampeni za kisiasa kumbe. Kuwa complacency na kulaza damu ni kosa kubwa sana. CCM wanavyofanya ni sawa kabisa. They are not taking anything for granted even though their candidate is a shoo-in for the presidency.

Na hakuna ajabu mkewe na watoto kumpigia kampeni Kikwete. Wewe ulitaka wakae nyumbani waangalie kampeni kwenye luninga? Unacheza wewe.
 
Muone huyo mzee mwenye shati la bluu; amefunga mikono kuonyesha unyonge kwa mgombea anayejinadi. In actual fact huu ndo wakato wa wananchi kuwavujisha jasho hawa miungu mtu waeleze walichofanya na wanachotarajia wakipewa!!!

We are still far away!!!
 
I don't know but you've got to give it up to them (CCM). Their ground game is on point regardless of whether their campaign activities cause inconveniences or not.

it's true.... one of the things CHADEMA can copy from CCM
 
CCM inaonekana hawajiamini,with 50 years experience bado hawana amani.
Hii inaonyesha hawajiamini kwa chochote walichokifanya ndani ya 50 years from TANU TO CCM
 
That's the way it is supposed to be, that's what's up!!

So far it looks like CCM is beating CHADEMA to the punch with their ground game. Love 'em or hate 'em, it appears like CCM are very well prepared and they are going all out.
Huwezi uka conclude kwa kuangalia picha moja tu, je hapa utasemaje au unataka kusema CHADEMA is beating CCM hapa si barabarani ni mtaa kwa mtaa
CIMG1753.JPG
Mgombea uras wa Chadema Dr. Slaa alipowasili Musoma wakati wa kutafuta wadhamini akipita mitaani.
 
Quinine,

Katika hili NN anasema kuwa chadema lazima wasiache kitu chochote kwenye nafasi (chance). Wapiganie kila kura kwa njia au gharama yoyote. Hivyo ndivyo campaigns zinafanywa.
 
Wewe hujui kampeni za kisiasa kumbe. Kuwa complacency na kulaza damu ni kosa kubwa sana. CCM wanavyofanya ni sawa kabisa. They are not taking anything for granted even though their candidate is a shoo-in for the presidency.

Na hakuna ajabu mkewe na watoto kumpigia kampeni Kikwete. Wewe ulitaka wakae nyumbani waangalie kampeni kwenye luninga? Unacheza wewe.
Kila mtu ana strategy tofauti.....Wewe kama unaona hiyo ndio inadhihirisha CCM wameshinda subiri 31 October. Hao wananchi hapo barabarani nyuso zao zinaonyesha nini? Mi nakwambia wasimama kwa sababu ya kupata buridani lakini mioyo yao inatuma ujumbe kwenye uso.....wote kama wanaona kinyaa! Lakini kwa vile hawana kazi watasikiliza tu. kwani wewe hujawahi kusafiri kwenye vijiji vya Tanzania? watu wakijua umetoka Dar es salaam hata kama sio mwanasiasa watakuja kukuangalia.....
Well ukweli unaujua!
 
CCM inaonekana hawajiamini,with 50 years experience bado hawana amani.
Hii inaonyesha hawajiamini kwa chochote walichokifanya ndani ya 50 years from TANU TO CCM

Mzarau mwiba kaka........................................................, wapinzani waingie kazini waache mambo ya kusubiri ushindi wa mezani japo Jk kasha walamba chenga ya mauzi na anaelekea langoni ku score goal, anakwenda pale huyu mshambuliaji wa ccm goooooooooooooooooooooooooalllllllllll
 
Kila mtu ana strategy tofauti.....Wewe kama unaona hiyo ndio inadhihirisha CCM wameshinda subiri 31 October. Hao wananchi hapo barabarani nyuso zao zinaonyesha nini? Mi nakwambia wasimama kwa sababu ya kupata buridani lakini mioyo yao inatuma ujumbe kwenye uso.....wote kama wanaona kinyaa! Lakini kwa vile hawana kazi watasikiliza tu. kwani wewe hujawahi kusafiri kwenye vijiji vya Tanzania? watu wakijua umetoka Dar es salaam hata kama sio mwanasiasa watakuja kukuangalia.....
Well ukweli unaujua!

Fanyeni kazi acheni longolongo mijini na maofisini huku mkitaraji mafanikio halafu mkishindwa mnaanza kulaumu na kutoa visingizio, badilikeni kama ccm
 
Kampeni kwa watoto.jpg Hawa watoto nao ni wapiga kura! Badala ya kupoteza rasilimali ni vyema kukaa maofisini na kuwatatulia wananchi matatizo yao!
 
Back
Top Bottom