Kampani

Evelyn Salt alisema hujielewi kwasababu umemshukuru alikuambia kwamba wadada wa jf wanapenda pochi ilotuna.

kimsingi kuona kwamba umelike post yake imetoa shaka kwa wengine kwani mwanzoni ulisema wewe unataka wa kutioka nae for lunch/dinner na stories na sio zaid ya hapo sasa unayoyaleta hapa ni kana kwamba unamawazo na hela atakazo tumia. nafkiri unapaswa umwelishe vyema akuelewe,

Evelyn Salt, gfsonwin; nadhani nitaeleweka. Iko hivi: Kuhusu kulipia gharama za outing sina tatizo. Lakini ambacho mie nimekifikiria kwa ushauri wake ni kwamba, mdada anaweza kujitokeza kana kwamba anataka kunipa kampani lakini kumbe lengo lake sio hilo, bali anakuwa amepata tu mlango wa kupitia ili afanikishe project yake. Kwa mfano kunitapeli hela kwa kujifanya ananikopa ati kwamba ana shida, kupanga tuende sehemu ambapo atakuwa amefanya mpango ili niporwe, kujifanya ananipa dili fulani la biashara ktk mazungumzo yetu (kumbuka tutakuwa tunabadilishana mawazo) ili aniwekee mtego wa kuniibia n.k.

Jamani nyie wenyewe mnajua mjini kuna mambo mengi, au mnataka baadaye nije na uzi "Kampani yanitokea puani"

Sina tatizo na mdada mrembo (wanawake wote warembo) mwenye tabia nzuri kupata kampani yake (Hahahaaa sina hela ya mawazo kwa sasa. cc Ciello)
 
duh! ningekupa kampani mkka mzuri ila umri wangu unakaribia miongo 4 sasa unaona jinsi ambavyo ni bibi kwako??
istoshe mie napata kitu inaitwa contessa na govinder kumar so ningekuboa lazima.

Vigezo vingine kumbe havifai, dah! Mie naamini gfsonwin ni mrembo mpaka basi! Yaani siku mtu akileta uzushi hapa gfsonwin sio mrembo naandamana peke yangu kupinga tena kwa bango kabisa "Stop this, gfsonwin is marvelous"!!!!!!!!!
 
Vigezo vingine kumbe havifai, dah! Mie naamini gfsonwin ni mrembo mpaka basi! Yaani siku mtu akileta uzushi hapa gfsonwin sio mrembo naandamana peke yangu kupinga tena kwa bango kabisa "Stop this, gfsonwin is marvelous"!!!!!!!!!
hahhahah! mie ni kibibi wa close 40 binti niwe mie si ninge ringa kama lara 1 na Ciello??
 
Last edited by a moderator:
Trancend mi naamini nakidhi vigezo vyako, ila niko mbali mwee

Tutafanya mpango round nyingine mkuu Haven, umbali sio kitu. Kutoka nje ya nchi kuna flights kibao, ndani ya nchi kuna FASTJets.
 
Tutafanya mpango round nyingine mkuu Haven, umbali sio kitu. Kutoka nje ya nchi kuna flights kibao, ndani ya nchi kuna FASTJets.

kweli eeh..round nyingine tena? mi nataka round hii....mwaka mpya naplan niwe home
 
So far so good, nimerudi, ban expired, Natoa taarifa kwa wakuu wa jukwaa, lara 1, Ciello gfsonwin, The Boss, snowhite, kongosho, Fidel80, Asprin, Mtambuzi.

Naishia hapa kutaja majina maana wengine ukiwataja watakuibukia na kukusababishia ban nyingine bure. Hata hivyo nilienjoy mapumziko yaliyosababishwa na ban.
 
Back
Top Bottom