- Thread starter
- #61
Evelyn Salt alisema hujielewi kwasababu umemshukuru alikuambia kwamba wadada wa jf wanapenda pochi ilotuna.
kimsingi kuona kwamba umelike post yake imetoa shaka kwa wengine kwani mwanzoni ulisema wewe unataka wa kutioka nae for lunch/dinner na stories na sio zaid ya hapo sasa unayoyaleta hapa ni kana kwamba unamawazo na hela atakazo tumia. nafkiri unapaswa umwelishe vyema akuelewe,
Evelyn Salt, gfsonwin; nadhani nitaeleweka. Iko hivi: Kuhusu kulipia gharama za outing sina tatizo. Lakini ambacho mie nimekifikiria kwa ushauri wake ni kwamba, mdada anaweza kujitokeza kana kwamba anataka kunipa kampani lakini kumbe lengo lake sio hilo, bali anakuwa amepata tu mlango wa kupitia ili afanikishe project yake. Kwa mfano kunitapeli hela kwa kujifanya ananikopa ati kwamba ana shida, kupanga tuende sehemu ambapo atakuwa amefanya mpango ili niporwe, kujifanya ananipa dili fulani la biashara ktk mazungumzo yetu (kumbuka tutakuwa tunabadilishana mawazo) ili aniwekee mtego wa kuniibia n.k.
Jamani nyie wenyewe mnajua mjini kuna mambo mengi, au mnataka baadaye nije na uzi "Kampani yanitokea puani"
Sina tatizo na mdada mrembo (wanawake wote warembo) mwenye tabia nzuri kupata kampani yake (Hahahaaa sina hela ya mawazo kwa sasa. cc Ciello)