Golden felician
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 216
- 36
Ila hakijaruhusiwa kudahili.kampala hakijafungiwa
Kwani wewe unakionaje hicho chuo.kinafaa kwa kozi za afya kusomapo au hakifaikampala hakijafungiwa
AmnaKiko vizur tu nenda
Ufaulu wako ukoje bwana mdogo?Kwani wewe unakionaje hicho chuo.kinafaa kwa kozi za afya kusomapo au hakifai
Nina Dvs3 ya 23.Nimekosa credity moja ya chemistry sababu Nina D.ila physics na biology Nina C.lakini mathematics na English Nina D.sasa nataka nikasomee pale KIU CO kwa ngazi ya certificate kwa miaka miwili then diploma kwa mwaka mmoja.Ufaulu wako ukoje bwana mdogo?
Unataka kusoma diploma ya nini?Nina Dvs3 ya 23.Nimekosa credity moja ya chemistry sababu Nina D.ila physics na biology Nina C.lakini mathematics na English Nina D.sasa nataka nikasomee pale KIU CO kwa ngazi ya certificate kwa miaka miwili then diploma kwa mwaka mmoja.
Nashindwa nifanyeje.maan naskia akijaruhusiwa kudahili
Me nataka CO.lakini sianzii diploma naanzia certificate kwa sababu nimekosa C ya chemistry ili nianzie diplomaUnataka kusoma diploma ya nini?
Chagua hapo:
1. DIT
2. Water Institute
3. Madini.
Ukitaka hizo kozi alizozitaja utaanzia diploma kaka.Me nataka CO.lakini sianzii diploma naanzia certificate kwa sababu nimekosa C ya chemistry ili nianzie diploma
Duh.kwani ajira zake izo.ni rahisi kupatikana au aUkitaka hizo kozi alizozitaja utaanzia diploma kaka.
Kampala university kimefungiwa au hakijafungiwa maana nimeapply certificate ya clinical officer pale
Hii ni kwa level ya degree..diploma na certificate wanachukua
Ok let me check!Hii ni kwa level ya degree..diploma na certificate wanachukua
Kaka tafadhali nakuomba usiende utakumbuka haya maneno hata mimi niliambiwa kama hivi nikapuuzaNina Dvs3 ya 23.Nimekosa credity moja ya chemistry sababu Nina D.ila physics na biology Nina C.lakini mathematics na English Nina D.sasa nataka nikasomee pale KIU CO kwa ngazi ya certificate kwa miaka miwili then diploma kwa mwaka mmoja.
Nashindwa nifanyeje.maan naskia akijaruhusiwa kudahili