Kampala University fees

Kampala University fees

Joined
Aug 15, 2021
Posts
49
Reaction score
45
Habari za Asubuhi ndugu Wana JF, ni matumaini yangu mnaendelea vema kabisa na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania. Naomba kufahamishwa ada (Undergraduate fees) za Kampala University Dar Es Salaam kias wanacholipa.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!?
 
Mkuu unaenda kusoma course gani? Tumia kitabu cha TCU huwa kinaandikwa course na ada yake. Kipidi cha nyuma ilikuwa hivyo sijui mwaka huu kama bado ipo hivyo lakini tafuta hicho kitabu
 
Habari za Asubuhi ndugu Wana JF, ni matumaini yangu mnaendelea vema kabisa na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania. Naomba kufahamishwa ada (Undergraduate fees) za Kampala University Dar Es Salaam kias wanacholipa.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!?
Ndugu zanguni, mnatarajiwa kwenda chuo kikuu, hivyo mnapoandika jaribuni kuwa specific ili mpate jibu sahihi.

Kozi ya ualimu malipo yake si sawa na udaktari halikadhalika na kozi nyingine. Kampala ni chuo kikubwa kina kozi zaidi ya 10.
 
Mbona kila kitu kipo kwenye site yao mzee
 
Ndugu zanguni, mnatarajiwa kwenda chuo kikuu, hivyo mnapoandika jaribuni kuwa specific ili mpate jibu sahihi.

Kozi ya ualimu malipo yake si sawa na udaktari halikadhalika na kozi nyingine. Kampala ni chuo kikubwa kina kozi zaidi ya 10.
Boss ada za undergraduate kwa koz ya sheria na uandishi wa habari
 
Swala la ada kwangu linanitatiza mno na nina multiple selection..kwa nin heslb hawatoi allocation 1st
 
Back
Top Bottom