Kampala International University kuna mgomo

Jamani naombeni mwenye taarifa yoyote kuhusu mgomo wa wanafunzi wa chuo cha Kampala KIU. Pale Gongo la Mboto
Taarifa zote ziko humu,magazeti karibu yote ya leo yameripoti habari hiyo..wewe unataka taarifa gani tena,
 
ASkari.......tumia weledi wenu.......piga hao wanafunzi,vunjavunja miguu yao maana wanajifanya wanaakili kuliko nyiye na wakubwa zenu.Piga hao ..... uwa kabisa.
 
Tanzania kila kitu kinawezekana, hakuna kinachoshindikana katika serikali hii ya chama cha majambazi
 
Acha wagome nikachukue zigo langu sabrina tuje gheto tuzibue vyoo
 
poleni kwa kutapeliwa. Inasikitisha kuona kwamba chuo kinazalisha madaktari wasio na viwango ambao matokeo yake watakuja kulingamiza taifa kwa kuwatibu wagonjwa vibaya. Vyuo kama hivi dawa yake ni serikal kutoruhusu usajili wa wanachuo kwa miaka kadhaa hadi kionyeshe ushahidi kuwa kimeandaa vizuri mazingira yote mhimu ya kufundishia na kujifunzia.
 

Wanafunzi hawana makosa wenye makosa n TCU...inapelekaje wanafunzI hapo...tena Mchome anahusika anapewa rushwa kila siku ili asisikilize madent...kaumbuka sasa...serikali ikifunge chuo sheeenzi kbs...wametoka uganda kuja kuwatapeli watanzania..na huyu mwenye chuo amehonga sana wizarani na tcu
 
ASkari.......tumia weledi wenu.......piga hao wanafunzi,vunjavunja miguu yao maana wanajifanya wanaakili kuliko nyiye na wakubwa zenu.Piga hao ..... uwa kabisa.

Pole sana..hao askari walishaambiwa wasipige hao madent....cz wanadai haki yao km hujui ndio nakuibia siri
 
Kitu kingine wali wanafunzi wa mwaka wa nne kwa BMS ...kwa yeyote ambaye anawajua hasa wanafunzi wa pale chuoni,wale kweli ni watanzania?? nina mashaka hilo

Si watz.. Niko KIU
 
komaeni bana kama paper zenu zenyewe ni kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…