Unaweza kututajia mapungufu...ili tupate kukifahamu zaidi ??..
Nitakutajia machache
1.ada iliyopo kwenye admission letter tofauti na ya chuo ukifika na michango ya ajabu
2.mimi nasoma c.o mwalimu wa entrepreneure na nutrition wamefundisha nje ya mtaala ila ukiwaambia wanakutishia kukufukuza na lugha mbaya
3.tulilipia hela ya rotation lakini hatukwenda semister nzima mpka now tumeingia ya pili
4.tumeingia semister ya pili bila kupewa matokeo yetu ya cat1,cat 2 na ue so mtu unaanza kusoma semister ya pili hujui kama umefaulu au la
5.modules y anatomy mpka leo haijaisha maana mwalimu mmoja afundishe mwaka 1,2 na wa 3 tena na madarasa zaidi ya 6
6.hatujawahi kusoma kwa vitendo sisi tulio upande wa afya
7.dean aliyepo upande wa afya hana taaluma hiyo na mengine mengi
8.walimu sio wa kutosha na wengi wao hawakidhi viwango
9.ubabe mwingi kuliko uwajibikaji
10.chuo hakin ratiba unaweza hata kesho ukaamka mkaambiwa mufanye test
11.taarifa muhimu zinatolewa kwa mdomo au makundi ya whatsapp bil kufuata utaratibu
Mazuri yao
1.majengo mazuri
2.madarasa ya kutosha
3.lab zipo nyingi(ila sisi hatujawahi kuingia sijui lbda kwa md)
4.hospitali yao ipo mbioni kuisha nk