Ni baadhi ya kabila za Tz huwa zinakuwa na hiyo mother tongue inayokosa 'r', na nyingine kukosa 'l' (like kurya),
But basically, kiswahili halisi ni Madaraka, sio madalaka.
kwa hiyo tangu mwaka 1978/1979 hawahangaika kutengeneza?,Hiroshima walipigwa bomu la atomic,kama wangekuwa na mindset kama zako basi wangekuwa na sababu kubwa ziadi ya kusingizia