game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,375
- 23,243
Ni baadhi ya kabila za Tz huwa zinakuwa na hiyo mother tongue inayokosa 'r', na nyingine kukosa 'l' (like kurya),Kuna kitu sijawai elewa, kwanini Bongo mnapenda kutumia 'l' badala ya 'r'. Madalaka badala ya Madaraka.
But basically, kiswahili halisi ni Madaraka, sio madalaka.