Naijua vema kampala city lakin kiujumla huwezi kucompare dar city na kampala hizo ni picha tu kwa anaiijua vema k.city hatabisha japo kampala ni jiji lenye mzunguko wa pesa sana kutokana na bidhaa nyingi za uganda kuwa cheap,hivyo basi muingiliano wa watu ni mkubwa nimefanya biashara na watu tofautitofauti sana mfano wakongo,wakenya,na watanzania kimbilio lao ni UG lakini ni nadra sana kumuona mganda anakuja kununua mizigo tz coz pesa yako iko chini na vitu vya tanzania ni very expensive hiyo ndo UG wao wanaiita japo mpangilio wa jiji la kampala siyo mzuri sana compare na dsm.