Wana JF hebu niliweke hili hapa na tulijadili kitaifa na kizalendo.
Kamishina Mkuu wa TRA ndugu Alfayo Kidata amezungumzia kuhusu ULIPAJI WA KODI nchini ambao uko chini sana.
Kulingana na kauli iliyojaa MASIKITIKO makubwa kwamba Watanzania millioni 3 pekee ndo wanao lipa kodi nchini kati ya watu millioni 45 HAIMRIDHISHI.
Katika kauli yake aliwataka Watanzania KUTOKWEPA kulipa KODI.
Maana ndo maendeleo huanzia hapo.
Swali langu kuu ni kuwa.
1.Kwa nini Watanzania HAWALIPI KODI?
2.Je watu milioni 42 HAWANA KIPATO?
3,Tufanye nini kama TAIFA ili kila mtu AWAJIBIKE katika PATO lake?
4.Maendeleo ya nchi yatakuja namna gani wakati WENGI wetu SI WAAMINIFU na TUNALIIBIA TAIFA?
5.Nchi hii haiwezi KUJENGWA na watu millioni 3 pekee wakati wengine WAKIBEBWA migongoni.
Huo ni WIZI.
Tufanyeje ili kuliokoa taifa letu?
Mwenye mawazo weka hapa.