Kama unataka nzuri utarud kwenye hizo ulizoweka wewe
Mfano nikon d850, d750 hizo ni best
Canon eod 7d iko safi sana
.....
Ila kwa mtu ambae hajawah zitumia kabisa hizi proffessional camera ni vyema ungeanza na mfano nikon d3200 iko simple bei rahis na vile function zake si nyingi ila ina picha angavu kinachobaki wewe ni kununua lens tatu au nne tafauti kwani camera hamna kitu muhimu kama lens so unapokuwa na lens tofauti unafanya camera hiyo moja kuweza kutumika kwenye occasion nyingi zaid..
Ila kama mfukoni una 1.7-2m nenda kanunue nikon d7200 utakuja kunipa mjumuisho mwakani ubora wake..
Manifester nlishamuona na nikon d7100 japo ana camera nyingi lakin kaangalie picha zake..
Hope cuz unataka kuingia kwenye industry hii lazima utakuwa ushawajua hata kampuni kubwa bongo ya ogs, mara nyingi sana wanatumia nikon d7100 ila mm nakupa opt ya d7200..
Karibu kwenye industry hope na wadau wengne watakupa mawazo yao lakin karibu kwenye industry hii inayohitaj creativity kubwa sana sinve technology inaongezeka na watu wanahisi akiwa na simu yenye mp 16 inamtosha kupiga picha so inabid sisi tudig kwenye documentary ambazo tv zetu haizinunui na bado tv zao zinarudia vipindi kila kukicha..
Njoo tumake mabadiliko kwenye industry, usiishie kuulizia karibu