Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Ili kuepusha Uhalifu pale darajani pangefungwa security camera na control room ili kuepusha uhalifu.
Kwahio wewe hujaona camera pale? Labda ziongezwe.Ili kuepusha Uhalifu pale darajani pangefungwa security camera na control room ili kuepusha uhalifu.
Ningeshangaa daraja kama lile likose CCTV cameraKwahio wewe hujaona camera pale? Labda ziongezwe.
yaan waweke camera kwa ajili ya plastic waliloweka hapo?Ili kuepusha Uhalifu pale darajani pangefungwa security camera na control room ili kuepusha uhalifu.
Pale kinadada wanafanya mazoezi na kuji-snap ovyo bila kuchukua tahadhari. Ni hatari sanaKwahio wewe hujaona camera pale? Labda ziongezwe.