Kamera ya BlackBerry

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
18,114
Reaction score
28,014
Kwa mwenye kufahamu ninapoingia kwenye Kamera kwenya BlackBerry yangu 8120 inanipa msg ya 'COULDNOT START THE CAMERA.CLOSE OTHER APPLICATIONS AND TRY OPENING THE CAMERA AGAIN' mwenye kujua hili tatizo nilitatue vipi ili niweze kupiga picha kama kawaida.
 
Sijawahi kuitumia model hiyo (8120) ila kuna site nayoiamini sana kwa solution za BlackBerry smart phones inaitwa crackberry.com hapo huwa nakuta solutions za matatizo karibu yote yanayohusu BB phones na solution nyingine huwa zinakua za ajabu(kienyeji na sio kitaalamu) mpaka unashangaa but ukizitest zinawork on poa kabisa.
Nimepitia leo nimeona solution kubwa ya tatizo hilo wanadai ni kufungua camera app huku umeziba lens au sehemu ya flash kwa kidole,wanadai it works..mwingine kasema kuwa ni kutoa battery wakati bado simu ipo wazi unaiminya simu kwa nguvu pale karibu na jicho la camera then rudishia battery,simu itakua poa..
Kwa ushauri zaidi pitia mwenyewe kwenye site nliyokutajia..hapa nakuwekea link inayohusu tatizo lako moja kwa moja, ni hii www. forums.crackberry.com/blackberry-pearl-8100-f5/my-camera-wont-work-help-me-14711/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…