Kamchezo kazuuuuri ka simu.

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,975
6,972
Kuna kimchezo nacheza hapa kinanifurahisha kweli na wewe jaribu weka CM yako VIBRATION kisha TIA kwenye MAJI alafu BEEP uone inavyo OGELEA..! Yaani hadi Raha.
 
Kuna kimchezo nacheza hapa kinanifurahisha kweli na wewe jaribu weka CM yako VIBRATION kisha TIA kwenye MAJI alafu BEEP uone inavyo OGELEA..! Yaani hadi Raha.
utakuwa umezidisha dozi ya ARV leo
 
Kwa nini madaktari wamekuruhusu utoke Milembe wakati hujamaliza dozi?
 
Jamani mbona mnamshambulia mwenzenu hivyo? Kwani simu ya tochi ina vibration? Si alikuwa anawatania tu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…