Kaimu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni(KUB) Mheshimiwa Ally Saleh amewasilisha rasmi rufaa kwa Spika wa Bunge akipinga adhabu waliyopewa Wabunge wawili wa CHADEMA, Halima Mdee(KAWE) na Ester Bulaya(BUNDA) kwa kuwa ilikiuka kanuni za Bunge na kuwa Kamati ya Haki na Maadili ya Bunge haikuwapa watuhumiwa nafasi ya kusikilizwa.
Sijui kama haki itatendeka kwa sababu mtuhumiwa Spika ndiye aliyeipokea rufaa.
Sijui kama haki itatendeka kwa sababu mtuhumiwa Spika ndiye aliyeipokea rufaa.