Kambi mbili za upizani katika Bunge

Kabla hujaandaa thread inatakiwa ufanye tathmini ya unachotaka kutoa. sio unatuletea utumbo mjinga mkubwa wewe! CHADEMA na CUF nani alikataa kuungana na mwenzake? Acha kukurupuka, kasome magazeti ya leo ujue nini kilitokea. Sio wachangiaji wote ni wajinga kama wewe!!!

Walokole sas wanaanza mitusi, hawatumii akili wanaendeshwa na jazba. kumpatia Mchungaji Slaa ni kuleta janga tanzania. wanakurupuka, wadini, wakabila. hawana cha kujieleza zaidi ya mitusi. nafffffofff...
 
Bullshit
 
Kabla hujaandaa thread inatakiwa ufanye tathmini ya unachotaka kutoa. sio unatuletea utumbo mjinga mkubwa wewe! CHADEMA na CUF nani alikataa kuungana na mwenzake? Acha kukurupuka, kasome magazeti ya leo ujue nini kilitokea. Sio wachangiaji wote ni wajinga kama wewe!!!

Ikiwa mimi ni mjinga basi sijui wewe utakuwaje ,inakuwaje unatembea mjini bila ya nguo ,yaani hapo ndio umejibu ,pole sana !
 
CUF : Imeanzishwa 1992
Ikapata umaarufu 2000
Imezikwa rasmi 2010
Wewe humu JF hujafikisha hata miezi mitatu , CUF imetoa makamo wa kwanza wa Raisi ,tuone nanyi mtoe huko ,na kwa siasa zenu za kulipuwa mabomu basi hamfiki popote pale yatawalipukia wenyewe .
 
CUF wakaungane wa wavaa pedo wenzao....kwani lazima wawe wao kambiya upinzani???? hii mijitu ya DINi hii mipumbavi sana..ndo maana mliambiwa mnazaliana kama kuku
Aloo chunga mdomo wako,maana ukoo wako mambo yenu ni kama wanyama ,hamjuani (Jibu lared) ! Umejiunga November hata mwezi hujamaliza ,pole sana !!
 
Aloo chunga mdomo wako,maana ukoo wako mambo yenu ni kama wanyama ,hamjuani (Jibu lared) ! Umejiunga November hata mwezi hujamaliza ,pole sana !!
Mambo ya kujiunga lini hayana mantiki hapa kujiunga zamani si kusema busara zitangozeka mbona wewe uliyejiunga zamani huna kitu kichwani, CUF zanzibar na Seif kwishney amefichwa kwenye pichu hapumui.
 
Huenda tukawa na kambi mbili za upizani katika Bunge moja.Hili limetokana na uovu wa Chadema wa kutotaka kushirikisha chama kingine katika kambi yao tofauti na CUF wakati ilipokuwa ikiongoza kambi ya upinzani.

Chadema imekuwa ikijificha na kujivalisha ngozi ya kondoo kumbe ni waovu na wabaya sana ,udini na ukabila wanauficha kiasi inakuwa vigumu kwa watu au wananchi wa kawaida kuing'amua hali waliyonayo Chadema.

Migongano kibao ndani ya Chadema imesababishwa na sababu ambazo zimewafanya wasimchague mtu kushiriki katika kambi ya upinzani bungeni.Huu ni ubaya walionao Chadema kwenye uchaguzi wanataka waachiwe wao ,sehemu wanayohitajika kuachia wanakuwa na mazonge kibao na wanakuwa wagumu ,kwa ufupi wanataka wafanyiwe wao tu.

Mbowe ni mmoja ya watu walioonesha hadharani kama Mzanzibar hawezi kujitawala na hata kufika kumsema maiti kwenye mikutano ya hadhara kama Rais wa Zanzibar marehemu sheikh Idrisa Abdull Wakili alifika darasa la saba tuu na akawa Rais wa Zanzibar hili lina maana kubwa na mpaka leo hajaomba radhi kwa Wazanzibar wala Ukoo wa Marehemu hilo tuliwache

Sasa basi kutokana na Chadema kukosa mbunge hata wa dawa kwa upande wa pili wa Jamhuri ya Muungano nikimaanisha Zanzibar ,CUF moja kwa moja watalazimika kuwa kambi ya pili ya upinzani ili kuiwakilisha Zanzibar .

is called divide and rule!!cuf na chadema nyie piganeni wakati ccm wanakata mbuga
 
The result of all of this is that the opposition will be neutralized....CCM till 2050 at least..lol
 
Back
Top Bottom