Kambakochi (Lobsters)

Kambakochi (Lobsters)

Unapatikana wapi kwa dar nikuletee sample'
Pia umeshaanza kupokea?
Vipi kuhusu malipo unalipa nikikuletea mzigo au baada ya muda gani?
 
Unapatikana wapi kwa dar nikuletee sample'
Pia umeshaanza kupokea?
Vipi kuhusu malipo unalipa nikikuletea mzigo au baada ya muda gani?
Sisi hakuna haja ya sample kwa kuwa tunanunua rangi yoyote, cha msingi wawe hai na wakubwa kuanzia gram 500 kuendelea.
Ila ukipenda lete "sample" za Kutosha, tutazinunua kama mzigo kamili.
Tumeshaanza kupokea mzigo na malipo ni pesa taslimu siku hiyo hiyo.
 
Wandugu
Bado tunahitaji mzigo mwingi.
Karibuni sana.
 
Bado tunahitaji mzigo kwa wingi,
Karibuni.
 
Back
Top Bottom