Nenda mafia Kapige kambi huko utawapata tuHabari wandugu,
Natafuta sehemu ya kununua kwa jumla kwa bei nzuri samaki aina ya Kamba kochi a.k.a Lobsters.
Au kama kuna mtu anawajua wavuvi wa haya mavitu ingepedeza sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
Habari wandugu,
Natafuta sehemu ya kununua kwa jumla kwa bei nzuri samaki aina ya Kamba kochi a.k.a Lobsters.
Au kama kuna mtu anawajua wavuvi wa haya mavitu ingepedeza sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
sidhani kama wanafika mkuu, cheki tu huko mafiaTani moja kila mwezi
Kamba kochi Nenda muhoro.....rufiji kwenye muingiliano wa maji ya mto na bahari hapo kuna kamba kochi kiamaaa hadi kamba kochi Aina ya jumbo utapata.....Tunapokea Kiasi chochote ulichonacho.
Wawe wakubwa wa gram 500 kuendelea.
Hatuchagui rangi, tunachukua rangi zote.