Kamaz truck za Urusi kuwa asemble kule DRC Congo

SOVIET UNION

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
455
1,283
Wazalishaji wa Truck za Kamaz kule Urusi we anataka kufungua kiwanda cha ku assemble truck Congo ili ziwasaidie katika zila baraba zao.

Kamaz ni moja ya magari magumu mno na yenye roho ya paka.
Screenshot_20230416_212324_com.android.chrome.jpg
images(43).jpg
2Q%3D%3D(22).jpg
 
Taratibu tuu kuna kikundi kitatiwa adabu ni swala la muda masoko yao yatajaa bidhaa za china na russia na india
 
Watu wengi hawazijui hizi gari.

Ila ni gari NGUMU zenye Nguvu kubwa mnoo.. Hizi gari zilikuw na specs za JESHINI.. Na zinapita popote pale.
 
Hayo malori inaonekana ni ya teknolojia ya zamani sana waliko kwisha toka wengine.
 
Back
Top Bottom