Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,537
- 31,686
Wadau naomba tujuzane kuhusu wajumbe wa hizi kamati, wamevuta pesa kiasi gani??
Maana isije kuwa ulikuwa ni mkakati wa kupeana ulaji tu!
Haiwezekani huko nyuma kuwe na tume/kamati kama hizi ambazo zilikuwa na hadidu za rejea hizi hizi na matokeo yalikuwa haya haya, na bado tuunde kamati nyingine kwa mbwembwe kibao!!