Kuna Mbunge wa Bunda bandia namuona kwenye Kamati ya Ardhi Maliasili na Utalii anaitwa Boniface Mwita Getere alhali Mbunge halali wa Bunda ni Esther Bulaya yuko Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma!!! Pia Juliana Daniel Shonza naona kaandikwa kama Constituent Member (kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama) alhali ni Special Seat (CCM) na hii ni kwenye tovuti ya Bunge!!! 🙁