clet 8
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,127
- 322
Acheni kutetea uovu! Hivi, unaposema taratibu fulani haikufuatwa ktk jambo fulani unatupa/unatujengea picha gani?
Kwa mfano mtumishi fulani alitakiwa kufanya mambo A,B,C,.....G halafu katika utekelezaji wa jambo hilo hakuweka viambata mhimu vinavyotakiwa kuhalalisha jambo hilo kwa wazi kabisa. Kesho watu wakija kumkagua aseme risiti ckupewa tutamwelewa?
Katika mazingira ya namna hiyo tutaachaje kuwa na wasiwasi! Na kwanini vitu fulani vikosekane wakati taratibu na kanuni za kiutendaji wa ki-utumishi zinafahamika?
iMind, hapa cjakuelewa kutokana na uliyoyasema.