Kamati za bunge CCM vs Magufuli

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Kwa masikitiko makubwa sioni CCM mlichokifanya katika uteuzi wa viongizi wa kamati Katika kipundi ambacho serikali iko na kasi kubwa ya kutaka maendeleo katika jamii na kubadilisha mifumo ambayo ilionekana ni kikwazo kwa maendeleo kwa bunge lililopita tumeona baadhi ya kamati zikifanya vizuri na kuiwajibisha serikali ffano PAC na kamati ya mali asili na mazingira iliyoongozwa na Lembeli jembe wakati huo akiwa CCM lakini alipata sapoti kubwa kutoka ndani ya CCM kwa wapenda maendeleo hata upinzani ulimpa sapoti kubwa na kuliunganisha bunge na kuhakikisha serikali inatimiza wajibu wake na kusimamiwa vyema.

Hivyo Escrow nayo ililiunganisha bunge kwa upande fulani japo kuna baadhi ya wana CCM walikuwa kizingiti. Yote kwa yote ni kazi nzuri zilifanyika na wananchi wakaona umuhimu wa bunge.Sasa kamati zimetangazwa na wenyeviti wamepatikana. Naona giza kubwa mbele kwa bunge linalo anza wiki ijayo kama kweli kamati hizi zitaleta ufanisi.Pamoja na kwamba CCM wako wengi bungeni ni lazima mngeongoza kamati nyingi lakini.Pamoja na kwamba CCM ndio walioshika mpini basi wangetuletea watu ambao asilimia kubwa wanakubalika katika jamii na ufanisi wao.

Kwa hili ndugu spika na washauri wako mmepotoka sana na sioni msaada kwa serikali na wananchi kwa muundo wa kamati hizi.
 
Pamoja na kwamba ccm ndio walioshika mpini basi wangetuletea watu ambao asilimia kubwa wanakubalika katika jamii na ufanisi wao...
Mimi ni sehemu ya Jamii nawakubali sana hao walioshika hizo nafasi.Pole umekosa nafasi kwenye kakamati kenye pesa! Pole.
 
Cha msingi wote ni wabunge na wateuliwa na vyama vyao kuviwakilisha. Kama waliletwa kimtego kama wale walioteuliwa wakiwa bado CCM, ndo shida.
 
Je, Mawaziri wa Magufuli ambao bado hawajaapishwa kua Wabunge nao wameshiriki kwenye vikao vya hizo Kamati?
 
Back
Top Bottom