Kamati ya Utendaji ya Taifa CUF inaendelea na Kikao chake cha siku moja

Lipumba hana kamati tendaji ana vibaka wa Lumumba.
Subiri tuone hizo fomu za wagombea wenu mtazipeleka chooni au wapi sababu zikikosa sahihi ya Lipumba ni sawa na toilet paper tu haziendi kokote ndio utamjua Lipumba ni nani na kuwa hicho kinachoitwa kamati tendaji hakuna maana yoyote bila sahihi na uwepo wa Lipumba.Saa hii endeleeni kjipa Faraja hewa
 
Lipumba naye aitishe kamati tendaji ya mabaunsa.
 
Tatizo la cuf ubush lawyer mwingi. hadi wanasheria wanakua wajinga ili kutekeleza anavyotaka seif na wapambe wake.
wabishi mno subiri hizo fomu wakijaza bila sahihi ya Lipumba tuone watapeleka wapi watapeleka chake chake Pemba au wapi maana hazitakubaliwa na tume
 
wabishi mno subiri hizo fomu wakijaza bila sahihi ya Lipumba tuone watapeleka wapi watapeleka chake chake Pemba au wapi maana hazitakubaliwa na tume

Acheni tu nyinyi. Chama siku zote kina taratibu zake. Huyo Kailima katowa wapi kifungu cha kulazimisha fomu ya mgombea kujazwa na Katibu Mkuu na Mwenyekiti Taifa. Hata iwe hivyo wanavyotaka kwa nini waingilie maamuzi ya ndani ya CUF na tayari kwa kupitia vikao halali walishamfukuza Lipumba uenyekiti na tayari amewekwa mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya muda. Wenye haki hii ni CUF kupitia Vikao halali vya kichama. Msajili na Tume ya Uchaguzi waache kushiriki kuivuruga CUF.

Hata mtoto mdogo anajuwa kuwa Dola inatumika dhidi ya CUF na Lipumba ndie kinyanganyiro
 
Back
Top Bottom