Kamati ya uongozi ACT kukutana kesho tarehe 07/06/2017 kujadili uteuzi wa mama Anna Mghwira

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
ACT.jpg
 
Kazi Ipo Hapo
Kikao Cha Kesho Kinakosa Nguvu KwakuwA Kaapishwa Maana Yake Kakubaliana Na Yote
Haijalishi Chama Chake Kitaamua Nini Kesho
 
Kimsingi, chama fulani cha siasa kinaposhinda kwenye uchaguzi, ilani yake ndio hutekelezwa na watu wote. Hiyo ni obvius na hiyo ni ama tupende ama tusipende. Kwa hiyo wanaomshangaa huyo mama kupewa ilani ya CCM ni kutokujielewa tu.

By the way suala la Viongozi wa ACT KUKUTANA NI SUALA LA KAWAIDA KWA AJILI YA KUPANGA MIKAKATI YA KUSONGA MBELE.

Ila Ado Shaibu, umekosea mwaka umeandika 2016. Rekebisha kama unaweza.
 
Shuguli imekwisha. .....kumbe kelele zote za wapinzani ni mkate tu. ...wakipata mkate basiiii. ......
mkate ni kila kitu bana. huoni hata wabunge wa ccm 'walipopewa' mil 10 kila mmoja kelele zao bungeni zimebakia za kusema NDIYOOOOO!!
 
Nijuavyo Mie Ukiteuliwa Kuwa Mkuu Wa Mkoa Au Wilaya Lazima Uwe Member Wa Chama Tawala Je Mama Tayari Kawa Ccm Au Bado Anasimamia Chama Chake Cha Act?
 
Back
Top Bottom