Kamati ya Sheikh wa Mkoa Dar, suala la mikopo ya Wanafunzi haliwagusi?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
sheikh wa mkoa wa Dar huongoza kamati ya viongozi wa dini ambao hutoa matamko mbalimbali ya.kisiasa na kijamii.

sijawasikia wakitoa tamko katika suala la mikopo ya wanafunzi,kulikoni?

basi nashauri wanafunzi waliokosa mkopo waunde kamati wakawaone viongozi hawa na kuwashawishi watoe tamko au kumwona mkulu
 
SHEIKH WA MKOA WA DAR NI MAKINI NA MWEREVU KUPITA KIWANGO CHA KAWAIDA HAWEZI KUKURUPUKA HILO SIYO JUKUMU LA KIDINI NI TATIZO LA KITAIFA NA LINASHUGHULIKIWA KITAIFA NA SIYO NGAZI YA MKOA HAPO HUJAMPATA ALHAD MUSA SALUMU NI MTU MAKINI KULIKO UNAVODHANI KIPIMO CHA UMAKINI WAKE SIKILIZA HOTUBA ZAKE NDIYO UTAJUA KILE NI KICHWA.
 
Mikopo yenye RIBA..alaf mashekhe wanaojielewa WATOE TAMKO!!! think about it..Twice!!
 
Bila shaka alimu yake si haba, maana kiukweli huwa yuko makini sana yofauti na wengine.
 
Huyu shehe shehina wa Bakwata Dar Ni mchumia tumbo aliye kubuhu
Achaneni naye
 
SHEIKH WA MKOA WA DAR NI MAKINI NA MWEREVU KUPITA KIWANGO CHA KAWAIDA HAWEZI KUKURUPUKA HILO SIYO JUKUMU LA KIDINI NI TATIZO LA KITAIFA NA LINASHUGHULIKIWA KITAIFA NA SIYO NGAZI YA MKOA HAPO HUJAMPATA ALHAD MUSA SALUMU NI MTU MAKINI KULIKO UNAVODHANI KIPIMO CHA UMAKINI WAKE SIKILIZA HOTUBA ZAKE NDIYO UTAJUA KILE NI KICHWA.
SHEIKH WA MKOA WA DAR NI MAKINI NA MWEREVU KUPITA KIWANGO CHA KAWAIDA HAWEZI KUKURUPUKA HILO SIYO JUKUMU LA KIDINI NI TATIZO LA KITAIFA NA LINASHUGHULIKIWA KITAIFA NA SIYO NGAZI YA MKOA HAPO HUJAMPATA ALHAD MUSA SALUMU NI MTU MAKINI KULIKO UNAVODHANI KIPIMO CHA UMAKINI WAKE SIKILIZA HOTUBA ZAKE NDIYO UTAJUA KILE NI KICHWA.
 
simu yangu inachokifanya siku hiz inajua yenyewe.
anyway, alhaj musa salum ni mmoja wa mashehe ninao wasikiliza yupo vzr sana na ananifanya nimkumbuke marehemu gologosi Mungu amrehemu.
 
Mikopo yenye RIBA..alaf mashekhe wanaojielewa WATOE TAMKO!!! think about it..Twice!!
sasa kama ina riba mbona wanafunzi wa kiislamu wanakopa? hii ni kinyume na imani,angepiga kelele kuwatetea wanafunzi hao
 
simu yangu inachokifanya siku hiz inajua yenyewe.
anyway, alhaj musa salum ni mmoja wa mashehe ninao wasikiliza yupo vzr sana na ananifanya nimkumbuke marehemu gologosi Mungu amrehemu.
Ukiwa mwanaccm ni lazima uwe na mapenzi na makada wenzako.
 
Back
Top Bottom