Kamati ya Ngwilizi bado!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya Ngwilizi bado!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OSOKONI, Sep 23, 2012.

 1. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  ile kamati ndogo ya bunge iliyondwa kuchunguza tuhuma za baadhi ya wabunge kupokea rushwa haijamaliza kazi? majina ya wabunge wala rushwa yawekwe hadharani ili taratibu za kisheria zifuate!!
   
 2. P

  Penguine JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  sijui hii mijamaa inafanya nini huko maana hatusikii chochote. Usikute washatuzuga tayari. Mwenye habari jamani atujuze.
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Bora hata isimalize kazi,kwani hata kamati zilizotangulia zilileta nini kwa taifa letu hili la walalahoi
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Wapo wanakula bata tu na kula per diems za kufa mtu. Si unajua nchi hii inavyoliwa?
   
 5. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mafisadi hao kwa kofia nyingine!!
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu usiniite fisadi nachokuambia kina ukweli, anzia kamati ya akina Nyarari, njoo kamati ya akina judge Kipenka na mwenziwe, njoo kamati ya Dr Ulimboka, kamati ya David Jairo zote ni hewa.Hata kamati ya Richmond kwangu ilikua hewa tu maana ingekuwa ya ukweli tusingekuwa tunasumbuliwa na Dowan.Sio ni bora wakae watulie tujue kimoja
   
Loading...