Kamati ya Mwakyembe iliyomtoa Lowassa madarakani

Kamati ya Mwakyembe iliyomtoa Lowassa madarakani

Mdavire

Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Wakuu hivi ile kamati ya MWAKYEMBE iliyomtoa Lowassa madarakani ilikuwa inaitwaje na naweza kuipata kwenye site gani?

Msaada wakuu.
 
ipo na inapatikana, mbona mpaka sasa inachunguza,endelea kuitafuta utaipata tu!!!
 
Dr. Mwakyembe, Stella Manyanya, Lucas Seleli, Herbert Mtangi na Mohamed Mnyaa
 
Sitta,Sendeka wataonja joto la jiwe,aka kazee ka whitehair achana nako bhana kwa visasi!
 
Inamalizia kazi subiri maazimio hayajatekelezwa ripot itatoka 2019.....only in tz...................tafakari.
 
Lowassa hakutolewa madarakani na Kamati ya Mwakyembe. Alizira uwaziri mkuu na kuamua kujiuzuru baada ya "kujipima mwenyewe".
 
The key findings of the Committee were:

1.Prime Minister Lowassa acted inappropriately to secure the Richmond Company contract and should be held accountable;

2. All senior GOT officials implicated in the Richmond Company deal should resign;

3.The Attorney General should be held accountable for failing to advise the government during the
Richmond contract process;

4.The Government should review the Public Procurement Act of 2004;

5. The Government should remove top PCCB officials
for appearing to "whitewash" its own Richmond probe;

6. The Government should review all existing energy
contracts.


Zingatia namba 1,2 na 5 sema Chenge na Dr. Hosea wana roho ya paka ila Lowassa hata Kikwete mwenyewe alitarajia ampelekee barua ya kujiuzulu
 
"...nimetafakari sana...nimeonewa sana...tatizo ni uwaziri mkuu tuu....tatizo ni uwaziri mkuu..."




Lowassa hakutolewa madarakani na Kamati ya Mwakyembe. Alizira uwaziri mkuu na kuamua kujiuzuru baada ya "kujipima mwenyewe".
 
...."nimetafakari sana, nimeonewa sana. Lakin mh. Spika mm najua tatizo ni uwaziri mkuu tu....tatizo ni uwaziri mkuu...."



Lowassa hakutolewa madarakani na Kamati ya Mwakyembe. Alizira uwaziri mkuu na kuamua kujiuzuru baada ya "kujipima mwenyewe".
 
Eti WEZI bdo wanaendelea kujipanga ndani ya chama ili uchaguzi ujao wachukue nchi. Ili iweje sasa wakishachukua nchi? Na Watz tunawaangalia tu na tumerizika kabisaaa.
 
changamoto ambazo zinapaswa zifanyiwe kazi. Kwa mfano,

bado matengenezo ya vituo vya kupandisha abiria na vibanda vya tiketi hayajakamilika,

eneo la kupishana treni za TRL lililopo Buguruni ambapo treni moja ilishindwa kufanya kazi juzi.

tatizo la maegesho ya magari ili wenye magari wayahifadhi na kupanda treni kwenda katikati ya Jiji.

Tiketi hazitoshi

wauzaji hawana chenji, hivyo abiria kupata kisingizio cha kusafiri bure.

kutokuwapo ulinzi wa kutosha na kanuni na taratibu za kuhakikisha usafiri huo unakuwa wa kistaarabu.

Ni matumaini yetu kwamba Waziri Mwakyembe ataona umuhimu siyo tu wa kupanua huduma hiyo ya usafiri wa treni kwa sehemu nyingi za Jiji, bali pia atahakikisha huduma hiyo inatolewa kwa wakati wote badala ya asubuhi na jioni kama ilivyo sasa. Tunamtakia kila la kheri.
 
hayo si mambo ya kumweleza mwakyembe. hizo ni changamoto za management!! haiwezekani kila kitu hadi kukamata wezi aelezwe mwa-K wa tiketi tumwambie waziri!! huo utakuwa uchuro!
abiria anzeni kuwaeleza utawala hayo mambo waziwazi si kukimbilia JF!!:becky:
 
Kenya wameshatangaza tenda kwa ajili ya bulet train
 
kweli watanzania wanaridhika haraka; yaani haya ma-skrepa ya treni ndio mmeridhika mnataka yasambazwe mji wote!
Namna hii uongozi Tanzania ni rahisi!
kwa nini watanzania msidai treni za ukweli badala ya hizi skrepa?
 
Back
Top Bottom