Wanajanvi hebu angalieni treni za wenzetu na linganisha skrepa za Mwakyembe!
Je kwa kutumia haya maskrepa ya mabehewa tumerudishwa nyuma miaka Mia Au tumesonga mbele, tumethubutu na tumeweza?
Je usalama Wa haya maskrepa pamoja na usalama Wa raia ndani ya skrepa na nje umezingatiwa?
Je hizi treni za Mwakyembe zitapunguza foleni za magari barabarani? kwa maama nyingine watu wa middle and higher class ambao wengi wao ndio wenye magari wataacha magari yao na kupanda treni ili kupunguza msongamano wa magari barabarani?
Au tuseme ni janja tu ya Mwakyembe kujitafutia umaarufu wa kisiasa?
Wakuu tujadili