The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 206
Yahaa Kweli Kwa Jana alionyesha Hisia za Ndani sana, LAKINI ili wamludishe Mwana mpotevu kundini ITABIDI TOBA KUBWA SANA.....TENA KWA IMAM NA WAZEE WA CDM.
Kwa hisia ya Jana kweli ni Mwanampotevu....bila CDM hakuna Zitto ...ila bila Zitto kuna CDM.
CDM Mpeni nafasi ila kwa viapo kwa IMAM akiwa na msahafu mbele ya wazee wa CDM...japo amuenzi Mama yake ambae inasemekana ndie aliyemwingiza Zitto CDM.
Ila KIAPO NA TOBA ni muhimu ili asije fanya dhambi kwa chama chake...
Haya mambo yanayotokea ni sawa kabisa na Musa na Farao. Mungu siku zote aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili ufalme wa Mungu hudhihiri na kuwakomboa wana wa Izraeli ka kutoa pigo kubwa kwa Farao na Wamisri .
Hayo ni mawazo ya akili.ndogo. Muhongo haondoki.