Kamati ya maadili imchunguze makonda

babylata

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
3,609
2,402
Makonda mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anapata wapi hela anazo Honga taasisi huyu atakuwa mtumia rushwa au anatumika na wafanyakazi biashara wa kwepa kodi au anachotewa fedha toka hazina maana tu nasikia bwana yule anagawa pesa mwenyewe
 
Kamwe usimuamini mfuasi yoyote wa CCM. Mfuasi wa kweli alikuwa Nyerere tu, japo na yeye aliwahi kusema CCM si Mama yake.

Chama Cha Mafisadi (CCM)
 
Kwani manunuzi ya chadema kwenda kwa Lowasa yaliidhinishwa na nani??

Kwa jinsi bavicha mlivyo wachawi mnapinga hadi maendeleo ya watanzania!!!

Shame on you wakala wa mafisadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom